Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,930
- 136,681
Sijambo babu, nashukuru Kama u mzima,,Oooh!
Marahaba mjukuu wangu jamani...
Unaendeleaje?
Umepotea sana kulikoni?
Natumaini kila kitu kiko salama....
Au tayari?
Miss you too![]()
Bado Bado



Sijambo babu, nashukuru Kama u mzima,,Oooh!
Marahaba mjukuu wangu jamani...
Unaendeleaje?
Umepotea sana kulikoni?
Natumaini kila kitu kiko salama....
Au tayari?
Miss you too![]()



Sio kwa hiyo sutiMtu wa nguvu ye ni mtu wa kusmile tuView attachment 2568479
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Hatari!😂😂mganga yeye angeweza au
View attachment 2568619
Njema,u Hali gani mpendwa?#Good morning guys![]()
Kwa hiyo ata wewe mbususu ya mumeo utampea mzabzab aichakate 🤣🤣🤣🤣Kuchapiwa hakuepokiki![]()
Si mnasema kuchapiwa hakuepokiki,,,,,,,,,,,Kwa hiyo ata wewe mbususu ya mumeo utampea mzabzab aichakate![]()
Jamani mawardat kwa nini unaninyima 😭😭😭😭Si mnasema kuchapiwa hakuepokiki,,,,,,,,,,,
Siwezi aisee
Unatembea kilometa 10 na begi mgongoni kwenda kazin Unafika pale kazini kwako unagundua kwamba funguo za ofisi umezisahau nyumbani.
Unarudi nyumbani ukiwa na hasira na unaamua kuacha begi mlangoni pa ofisi. Unapofika Nyumban unagundua huna funguo za mlango wa Nyumba yako na unakumbuka zipo ndani ya begi uliloacha kwa mlango wa ofisi.
Unaporudi ofisini kuchukua funguo, unaamua kubeba begi lenye funguo unarudi nalo nyumbani.Ulipotoa funguo za mlango wa nyumba ktk begi ndipo unagundua kwamba funguo za ofisi pia zipo ktk begi.
Hapo ujue kuwa ulidangaya umri ulitakiwa uwe umestaafuView attachment 2568960





