Unatembea kilometa 10 na begi mgongoni kwenda kazin Unafika pale kazini kwako unagundua kwamba funguo za ofisi umezisahau nyumbani.
Unarudi nyumbani ukiwa na hasira na unaamua kuacha begi mlangoni pa ofisi. Unapofika Nyumban unagundua huna funguo za mlango wa Nyumba yako na unakumbuka zipo ndani ya begi uliloacha kwa mlango wa ofisi.
Unaporudi ofisini kuchukua funguo, unaamua kubeba begi lenye funguo unarudi nalo nyumbani.Ulipotoa funguo za mlango wa nyumba ktk begi ndipo unagundua kwamba funguo za ofisi pia zipo ktk begi.
Hapo ujue kuwa ulidangaya umri ulitakiwa uwe umestaafu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.