Mwanaume asiyekunywa starehe yake ni kusimamia kucha 😬😬😬Aisee kumbe ambao hatunywi urabu tuna nafasi yetu sema huwa hawatuambii tu.View attachment 2566165
Hatari....jamaa anaenda faidi warembo 😍😍😍
Dunia inakoelekea vijana wa kiume wanaenda kuwa mashoga na kuwa legelege wanawake ndiobwatakuwa na nguvu. Huyo mwenye gari aliyepata pancha ni mwanaume shoga, anasaidiwa na mdada mwenye nguvu. aimi lyatuuNiliiona twitter sikuelewa maana yake..
Tujuze
Dah sasa mbona mie sinywi laki dakika mbili chali🤣🤣🤣🤣Mwanaume asiyekunywa starehe yake ni kusimamia kucha 😬😬😬
Hahaha wanaboost nyonyo🤣🤣🤣🤣








Ni kweli sijui hizi timu ndogo zinapataje faida nina bro wangu analipiwa hadi nauli kutoka dar kwenda Mtwara na Zanzibar analipiwa nauli,msosi bado posho alaf timu inashindania Mbuzi na Jezi yaan ni kituko kwakweli mpira anafaidika mchezaj sio muwekezaji