sajumo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,834
- 1,056










Siyo yanaweza tayari yamemletea matatizo mkuuuHustler asivyopiga akili vizuri maandamano haya yanaweza kumletea matatizo.
MK254 una maoni gani kuhusu hii ishu?
View attachment 2569637
AI hatari sana



Your rightKuna nini Afrika?
Wanamwogopa Mchina na Mrusi ama?
Au ni haya mambo yao ya ushoga?
View attachment 2569660