M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,167
- 19,354
Ni bi au trans? Hasomeki.UTENGUZI
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Bi Jane Nyamsenda ambaye Uteuzi wake umetenguliwa Jana na Rais Samia Suluhu Hassan
View attachment 2544924View attachment 2544925
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ilinikuta hii kizuka tpdf nikiwa form two chooni soweto A [emoji1787][emoji1787][emoji1787], jamaa wapo choo cha pili wanavuta mimi nipo upande mwingine najisaidia, He! Kumuona " GAMBESH " (Huyu alikua mlinzi wa wanafunzi wa bweni mwanajeshi mmoja baada ya patron ) he! Si wakarushia vipisi huku nilipo na hawaja vizima[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbio wakachoropoka[emoji1787][emoji1787] ilikua hekaheka, gambesh akaja moja kwa moja kule chooni baada ya kuona mlango mwingine haujafungulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikuja kupitiza na teke maaaninah yule akakuta ndio navisukumia kwenye tundu la choo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sito sahau dah! Hii picha imefukua file ambalo si rahisi kukumbuka kwenye mazingira ya kawaida
Kwanini UDOM 🤓🤓🤓🤓Wenzio waliacha shule Harvard, Stanford, Yale, Columbia, Princeton na Cambridge...na siyo UDOM
Akili za kuambiwa always changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna mmoja ana miguu kama mbuni wa ikulu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uyu wa pili apo Mguu naona unaakisi yaliyomo yamoView attachment 2545235
Pesa ya kulipa kodi si bora nije nikuachie mezani[emoji848]
[emoji817][emoji3581]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ulifikiri makingereza yako magumu yatakusaidia? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2545302