Kwa hiyo nyie hamkunyi🤣🤣🤣
Lakini hela zetu mnataka
Hizi picha mrs shimba hajawahi zifumania kwenye simu kweli?
Ni moderator nae?Huyu mwenye raba nyeupe anauongeaji fulani "very professional" nmeikumbuka sura yake. Ajapoona ujumbe huu nampa pongezi.
Ana access na gadgets zangu zote. Na baadhi ya picha yeye ndo huwa ananitumia. Hata akiona mzigo huko kitaa anapiga na kunitumia. Tuko washikaji sana aisee. Na hii ndiyo siri mojawapo ya ndoa yenye furaha. Muwe washikaji halafu muaminiane.Hizi picha mrs shimba hajawahi zifumania kwenye simu kweli?
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app