Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,393
- 4,082
Wa CHATOThe next president (2030 - 2040)
View attachment 2511880
Wa CHATOThe next president (2030 - 2040)
View attachment 2511880
Safi sana nahisi inataka kuendana na hiiAna access na gadgets zangu zote. Na baadhi ya picha yeye ndo huwa ananitumia. Hata akiona mzigo huko kitaa anapiga na kunitumia. Tuko washikaji sana aisee. Na hii ndiyo siri mojawapo ya ndoa yenye furaha. Muwe washikaji halafu muaminiane.
View attachment 2545580
He is being groomed.Wa CHATO
Hawa wamezidi ila mimi na Mama E wangu tuko kwenye mwelekeo huo huo. Raha sana ndoa yaaniSafi sana nahisi inataka kuendana na hiiView attachment 2545684
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app



Njooni mshone kwangu sinaga longolongo
Hongera mkuu hakika umepata Partner sahihi kabisa kwenye maisha yakoHawa wamezidi ila mimi na Mama E wangu tuko kwenye mwelekeo huo huo. Raha sana ndoa yaani![]()