Lawama zangu zimuendee kamera man
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuishi kwa ploti ni tricky sana . Ukichelewa kutoka kwa bafu watu wanaanza kudhani unayonga. Jana nlioga 3 minutes nikaskia wasee wanasema, “ Hii mwaka lazma hii bafu itashika mimba”[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani una vituko [emoji16][emoji16][emoji16]