TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,893
- 8,483
Dah! Nisingepata mda wa kupiga hiyo picha wallah! Hapo hapo kwenye kapetiTupate Wadhamini toka Facebook View attachment 2527864
Dah! Nisingepata mda wa kupiga hiyo picha wallah! Hapo hapo kwenye kapetiTupate Wadhamini toka Facebook View attachment 2527864
Kwa mimi! Ataenda kula na kulala huko huko kwa mchungaji
Haitokeagi mdomoni kweli!?
Chawa kila sehemu wapo aisee! Si ufisadi huu! Hapo ndio kaaidiwa sh ngap
Hili jini linatafuna wengi
Mwamba kachili na pisi kali ya moto
Huyu jamaa ni nani? Nataka kufuatilia
Page yake bado sijaijua fbHuyu jamaa ni nani? Nataka kufuatilia
Namuelewa sana huyu jamaa.
hahaha😂😂😂 hii ndio dunia sasa