Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Aki wazazi bana[emoji23]!!! Unalala katkati yao lakiji ukiamka unajipata ukutani!!kwani ulimea mabawa ama!!![emoji23][emoji23]
Sheikh kipozeo type
Lah! Hallaullah! Wameisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.[emoji2781]TrashView attachment 2527472
Huyu mtoto anafanana na yeye mwenyewe rihana ila hizo make up ndio mtihani! Dada ana komwe huyo hatari
Dah! Sipati picha alicho experience haswa baada ya huyo ndugu mwenye suti kumzoa tama
Kesi yake ni nzitoDah! Sipati picha alicho experience haswa baada ya huyo ndugu mwenye suti kumzoa tama
Dah! Hao cuzoo si wanatakaga wenyewe[emoji848] kuzoo akiomba apewe, ila yeye akiombwa msalaKesi yake ni nzito
Akome kutongoza cousins wake