Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1675656861167.jpg
 
Kama huyo babu ni mimi basi karibu sana mjukuu anytime. Kama ni mwingine basi na ashindwe huko aliko. Yote kwa yote safirini salama...ila tu msibanane sana kwenye hilo gari [emoji16][emoji16]

View attachment 2510086
[emoji23][emoji23][emoji23]babu ni wewe,nakuja kukusaidia kupalilia mahindi[emoji16]
 
Back
Top Bottom