Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1675656845455.jpg
 
Niko cinic na bibi ana miaka 74 , mara ya kwanza dalili za mwanzo akajua maradhi ya utu uzima, akaja kupigw ultrasound tumboni maana alikuwa anatapika sana na dawa kila akiandikwa hola , ndio kuonekana ana mimba miezi 7.
Ya kweli haya?

74 yrs old?

Medical miracles...

Mungu Awaongoze na kuwabariki mama vijacho nyie japo we najua ulitufunga kamba
 
Back
Top Bottom