Hapana umenifananisha mkuu.
Hili suala unalichukuliaje?


Hili suala unalichukuliaje?
Kuna nini huko Njombe Mgendera?
Nimeogopa sana na kuanzia leo naacha utani na wanawake wa Njombe
View attachment 2509734


hatunaga utani ukileta fyokofyoko unatanguliaNakuogopa...hatunaga utani ukileta fyokofyoko unatangulia





Umeona eeh? Haya kesho njoo nyumbani kwangu saa mbili asubuhiNakuogopa...
Kuanzia leo ukisema kitu mi nafanya bila hata kuuliza![]()
Basi akili yangu imenituma ndivyo sivyoHapana umenifananisha mkuu.
rukia16 namfahamu kiaina na kamwe haziwezi pigo za Mideko...yule asingeweza kuposti hata picha ya mwanamke ambaye paja linaonekana. I hope umenielewa namaanisha nini...

nmekuelewa mzee ya mizigoNitakuja saa mbili kamili asubuhi. Andaa tu mapochopochoUmeona eeh? Haya kesho njoo nyumbani kwangu saa mbili asubuhi
Baridi inawapa wendawazimu ndo maanaHili suala unalichukuliaje?
Kuna nini huko Njombe Mgendera?
Nimeogopa sana na kuanzia leo naacha utani na wanawake wa Njombe
View attachment 2509734