Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Hivi wanaume wote tukianzisha kampeni ya kuwacharaza kama huyo mwamba si tunaweza kutatua matatizo mengi tu? Nimemkubali sana huyo mwamba wa KigomaDunia na maajabu yake

Hivi wanaume wote tukianzisha kampeni ya kuwacharaza kama huyo mwamba si tunaweza kutatua matatizo mengi tu? Nimemkubali sana huyo mwamba wa KigomaDunia na maajabu yake

Nakutabiria...31 mbona bado mdada mbichi jamani
Me mwenyewe nna dada
Nahisi yuko above 35
She is happier
Ana mtoto mmoja
Au wanaliaga ndani kwa ndani?
I see me in the fyuchaaaa

Single maza wengi ni![]()
Nimechekaaaaaaa Lenie View attachment 2504548
Hili limekuwa tatizo.




😂😂😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Tusitishane pulizi. Watu tulishasukuma milango imeandikwa pull hatutishwi na maandiko ya kwenye tisheti tu![]()
View attachment 2504640
AmenNakutabiria...
We utaolewa ukifika 27
Sasa hivi malizia malizia raha za ubachela.
Kila mtu na aseme Amen![]()
Dah 🤣😂😂😂🤣🤣😂
Ajali kazini 🤣🤣🤣Dah 🤣😂😂😂🤣🤣😂
Alooo wadada wa fb mbona wanakomeshwa hivo
Ndiyo ni ngumu lakini utafika wakati itabidi ukate shauri. Unless kama kuolewa siyo kitu unachokiwazia maishani mwako.Amen
Ila hamjui tunakutana na nini 😂
Nimechomoa proposal kama 3
Kuwa na mpenzi kuhave fun ni tofauti na kumkubalia mtu ndio awee wako mpk mfe mzikane.
Nifungulie PM kwa dakika moja tu nikuulize kitu! 😁😁😁😂😂😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Furaha ni kuenjoi maisha yako
Kukata shauri? Means ujikute tu umekubali for the sake of being Mrs fulani?Ndiyo ni ngumu lakini utafika wakati itabidi ukate shauri. Unless kama kuolewa siyo kitu unachokiwazia maishani mwako.