Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ngoja nikupe kisa cha kweli.

Mwaka 2010 nilibahatisha pisi kali hatari mitandaoni humu humu - picha kali hatari tena mno pisi inadai kuwa iko 27 yrs. Halafu tipwa tipwa imefungasha sijaona...kama nipendavyo!

Siku ya kuonana sasa. Kumbe ni mama mtu mzima sana 45yrs+ halafu kachoka choka hatari. Tulienda kwenye mkahawa mmoja tukala na kuongea vizuri namuuliza kulikoni mbona yanayopaswa kuwemo hayamo? Oooh zile picha nilikuwa natumia za binti yangu na blah blah kibao..mpaka tukaagana jioni nikampa na nauli ya kurudia huko Kibaha ndani ndani huko.

Ila tuliishia kuwa marafiki sana siyo na yeye tu bali hata mabinti zake wawili akiwemo yule mkali kabisa ambaye picha zake ndiyo nilikuwa natumiwa. Hata mama yao alipofariki nilikwenda kwenye msiba.

Mitandaoni humu unaweza kuwa catfished...na ni vyema kuwa mwangalifu. Tangu kisa kile kinitokee niko makini hatari!

RIP Mama Ashura
Huyo binti yake hukuwala kimasihara kweli
 
Navyopenda ku upgrade umriiiiiiiii
Ila ni mwili unanikataa
Me ukiulizq ni lazima nikuongezee miwili au mi3.
Ila kupunguzaa? Nehii

Back tu shangazi Ashura, huo ni utapeli 🤣
Btw angekupa binti ake
Na apumzike kwa Amani
 
Kwa kampeni hizi za ushoga na kukataa ndoa zilizopamba moto 2060 mbali sana. 2030 tu hapa kutakuwa na wimbi kubwa la mabinti above 35 wanaosaka waume kwa hali na mali.
Mi mwenyewe nina mfano hai wa ndugu yangu ana 31 ila ni mapenziless,sexless,childless mi namuonea huruma sana maana kaaa kaa yake ni tofauti na wanawake wa umri wake hii ni kweli ila 2030 ni karibu sana mkuu labda 2045
 
Is this the beginning of the end for the US global economic supremacy? Even the mighty dollar is being challenged from every corner of the globe.
IMG-20230203-WA0024.jpg
 
Mi mwenyewe nina mfano hai wa ndugu yangu ana 31 ila ni mapenziless,sexless,childless mi namuonea huruma sana maana kaaa kaa yake ni tofauti na wanawake wa umri wake hii ni kweli ila 2030 ni karibu sana mkuu labda 2045
31 mbona bado mdada mbichi jamani

Me mwenyewe nna dada
Nahisi yuko above 35
She is happier
Ana mtoto mmoja

Au wanaliaga ndani kwa ndani?

I see me in the fyuchaaaa
 
31 mbona bado mdada mbichi jamani

Me mwenyewe nna dada
Nahisi yuko above 35
She is happier
Ana mtoto mmoja

Au wanaliaga ndani kwa ndani?

I see me in the fyuchaaaa
31 mdogo unachekesha we depal huyu hata dalili ya kuwa na me hamna alafu anavutaga bangi huyu na kukojolewa ovyo ovyo disco ila boyfriend wa kudumu hana kabisa na mawazo hayo hana mi nakwambia labda mpaka 40+ akili yake ikifunguka la sivyo sijui

Ndo mambo ya menopause yakiwa yanamnyemelea hapo 😒😹😹😹 and im sure inamuuma sana kwa ndani sema ndo hivyo huwezi jua

Single maza wengi ni 🤮🤮🤮🤮🤮
 
Mh 31? Ana ukubwa gani?
Labda angekuwa 41

Huyo anavuta bangi ni anaza case 🙄
 
Navyopenda ku upgrade umriiiiiiiii
Ila ni mwili unanikataa
Me ukiulizq ni lazima nikuongezee miwili au mi3.
Ila kupunguzaa? Nehii

Back tu shangazi Ashura, huo ni utapeli
Btw angekupa binti ake
Na apumzike kwa Amani
Binti yake mpaka leo tumekuwa kama ndugu. Hata kwetu Misungwi alishafika....

Kwa nini unapenda ku-upgrade umri sasa? Vidimpozi na hiyo baby face huwa unamdanganya nani mpaka anadanganyika?
 
Back
Top Bottom