Relax Pastor P. Wengine mitandaoni humu ni sehemu ya kutolea stress tu. Nothing serious maana hatujuani. Na katika uzi huu tunacheka tu na kusepa basi...76 years bado unatafutaga maisha tu amaa kweli peruzi mitandaoni uone Lemunga



Ametoka kwenye Forex mpaka kwenye sperm retention
