Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

utakutana na mjuba
Niko mjanja hatari...

Huwa nawahi stendi/uwanjani...

Na kuusoma mchezo kwa mbali.....

Nikiona yanayopaswa kuwemo hayamo...au yaliyomo siwezi kuyamudu....huyoo nasepa kiulaini nazima na simu kabisa.....

Silver Palm alikuja mtu nikaona kabisa hapa nitachemsha...nikiwa kule kwenye geti la ile hospitali ya Lutheran....

Akachoka kusubiri reception nikamwona anasepa zake....

Akili mtu wangu...

Akiliiii!
 
168,000 kawapataje? Angesema 144,000 kama wanavyoamini Jehovah's Witness angalau ningemwelewa maana hiyo namba imo kwenye Biblia
36365099.jpg
 
Niko mjanja hatari...

Huwa nawahi stendi/uwanjani...

Na kuusoma mchezo kwa mbali.....

Nikiona yanayopaswa kuwemo hayamo...au yaliyomo siwezi kuyamudu....huyoo nasepa kiulaini nazima na simu kabisa.....

Silver Palm alikuja mtu nikaona kabisa hapa nitachemsha...nikiwa kule kwenye geti la ile hospitali ya Lutheran....

Akachoka kusubiri reception nikamwona anasepa zake....

Akili mtu wangu...

Akiliiii!
Huo ni utapeli sijui uswahili

Mpaka mnawasiliana mnaenda kuonana ina maana hamkuanza kujuana?
 
Hizo ni mbinu zakimedani
 
Huo ni utapeli sijui uswahili

Mpaka mnawasiliana mnaenda kuonana ina maana hamkuanza kujuana?
Mtu akiwa tapeli na wewe wahi umtapeli...kwa nini akuzuzue na filter za snapchat na mtako wa bandia kumbe wala siye mubashara ni mtu mwingine kabisa wala hafananii?

(By the way ni utani tu...)
 
Ina maana we ulionaje onaje? Na usijue ni chenyewe ama sio chenyewe
Ngoja nikupe kisa cha kweli.

Mwaka 2010 nilibahatisha pisi kali hatari mitandaoni humu humu - picha kali hatari tena mno pisi inadai kuwa iko 27 yrs. Halafu tipwa tipwa imefungasha sijaona...kama nipendavyo!

Siku ya kuonana sasa. Kumbe ni mama mtu mzima sana 45yrs+ halafu kachoka choka hatari. Tulienda kwenye mkahawa mmoja tukala na kuongea vizuri namuuliza kulikoni mbona yanayopaswa kuwemo hayamo? Oooh zile picha nilikuwa natumia za binti yangu na blah blah kibao..mpaka tukaagana jioni nikampa na nauli ya kurudia huko Kibaha ndani ndani huko.

Ila tuliishia kuwa marafiki sana siyo na yeye tu bali hata mabinti zake wawili akiwemo yule mkali kabisa ambaye picha zake ndiyo nilikuwa natumiwa. Hata mama yao alipofariki nilikwenda kwenye msiba.

Mitandaoni humu unaweza kuwa catfished...na ni vyema kuwa mwangalifu. Tangu kisa kile kinitokee niko makini hatari!

RIP Mama Ashura
 
Back
Top Bottom