Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20230120_052613_388.jpg
 
Kimoja tu hoi

Wanaume tukiwa tunatafuta [emoji383]
Tusisahau kutafuta nguvu za kiume

La sivyo utagongewa sana tu mkeo pamoja na [emoji383] zako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2488028

Your priorities are misplaced...

Uwe na pesa...

Uwe na nguvu za kiume...

Uwe na....

Kugongewa kuko pale pale. Ukija kulielewa hili utaishi maisha bila wasiwasi wa kugongewa. Focus on things you can control vinginevyo utakufa siku si zako.

#KuchapiwaHakuepukiki [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Back
Top Bottom