Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Binadamu tumeumbwa kusahau 😀
Inategemea na Kabila la mke 😀
Wakati wale wa tuma Kwa namba hii bado wanapeta tu
Halafu akitokea mzungu akasema watu weusi hatuko sawa eti tunamuita racist wakati case studies zinazoprove kuwa hatuko sawa ziko nyingi tu mojawapo ikiwa ni hiiJuu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa.
Chini ni moja ya magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya wakuu wa mikoa nchi nzima.Gari moja thamani yake ni milion 500 sawa na idadi ya madarasa 25View attachment 2484275




Honestly speaking, nimekuwa na marafiki wengi Muslims,bila unafiki ndiyo true friends.......tuna share kila kitu ni imani tu ndiyo kila mtu anaheshimu ya mwenzake.........Dunia medulla yake imeingia unyevuView attachment 2484623
Kitomari 😂😂