Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230117-210042.jpg
 
Iweke [emoji1787]
Niende nikale ugali mgumu
Na nijifunze adabu ya kuzidi
Mwanza hupawezi....

Labda mhamie wote na Lenie akusaidie kukufunda jinsi ya kula ugali mgumu na makande [emoji16]

Ila Arusha kuzuri dah! Nimepita wiki jana hapo Silver Palm hapajabadilika sana. Beautiful weather....
 
Back
Top Bottom