Afande kama afande
Chalichali wapinzani chali ukisikia gere mwambie wasomi tupo ngangari haya twende sasa tunasoma tukimaliza tutatoboa muongo huu wataisoma waambie tushasanuka
Say no to pedophilia and incest! [emoji51]
MmmhSiyo kwamba yupo kwenye massage ya mwili mzima anakandwa kandwa mabegani huku na kwingineko? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2485642
Umbea si kazi ndogo babu si unajua[emoji23]Ila kweli aisee. Kama Marehemu Warumi (RIP) alikuwa anahangaika kweli mpaka kutoa pesa sometimes [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii meme inanihuzunishaga[emoji57]
Kwa nini mjukuu?Hii meme inanihuzunishaga[emoji57]