Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nyie mnauhakika KABAJUKI Sio mhaya??
1672679150596.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya tarehe leo 1/1/2023 nimewezakuamka mapema sana. Nikaenda nje kuuona mwaka wa 2023.


Lakini nikawa na mshangao....nashangaa mbona kila kitu kinafanana na mwaka jana... mwanga ni ule ule....watu ni wale wale.....nikatizama karibu kila kitu nikakuta ni kile kile....!

Nikarudi ndani nikiwa natafakari.....maana ya mwaka mpya ni nini hasa? Je inamaanisha nini kwangu binafsi? Je kwa familia yangu inamaanisha nini? Je kwa jamii inamaanisha nini?

Kwakweli sikuwa na jibu la moja kwa moja....ila nikajaribu kudhani mwaka mpya unaweza kuwa unamaanisha mambo yafuatayo-

1. Mwaka mpya hauna maana yoyote kama mimi binafsi siwezi kujipima mabadiliko yangu ya kila nyanja kati ya mwaka juzi na mwaka jana. Kama sina mabadiliko yoyote basi mwaka huu mpya hauna maana yeyote.

2. Kwamba kuweka malengo mwanzo wa mwaka huenda sio kitu cha maana sana....kitu cha maana pengine ni kuchukua hatua za kimaendeleo kila nyanja kwa kila siku.....kwani kila siku huwa tunatimiza mwaka...

3. Kwamba mabadiliko ya tarehe hayatakuwa na maana ikiwa nitaendeleza matendo yale yale ya mwaka jana kwa namna ileile huku nikitarajia mabadiliko katika matokeo.

4. Nikahitimisha kwamba ikiwa nitaendelea kuwalaumu wengine katika kushindwa kufikia malengo yangu....basi mwaka mpya hauna maana yeyote kwangu.

5. Nikawaza ya kwamba ikiwa nitakuwa natafuta wakati sahihi wa kuanza jambo au kutekeleza wazo flani litakaloleta tija maishani mwangu na kwa jamii kwa ujumla....basi mwaka mpya hauna maana yeyote kwangu.

6. Kwamba ikiwa nitamaliza siku, wiki au mwezi bila ya kuwasiliana na watu ninaowajali au wanaonijali kwa kigezo kwamba niko "busy"....basi mwaka mpya hauna maana yeyote kwangu.

7. Ikiwa nitashereka "birthday yangu" nikiwa na marafiki zangu huku nikiwasahau wazazi wangu na ndugu zangu....basi mwaka mpya hauna maana yeyote kwangu.

8. Ikiwa nitasali sana kwa bidii....nikafunga na kutoa sadaka sana.....ila nikashindwa kuwasaidia ndugu zangu....wazazi wangu....familia yangu.....bali nikawasaidia zaidi watu baki.....basi mwaka mpya hauna maana yeyote kwangu.

9. Ikiwa nitatumia muda mwingi mtandaoni...nikiwa naonesha maisha yangu ya kuigiza au nikifatilia maisha ya wengine na kujilinganisha nao....huku nikiamini nitapata muda wa ziada wa kufanyia kazi mambo ya msingi kwenye maisha yangu na ya jamii nzima....basi mwaka mpya hauna maana yeyote kwangu.

10. Ikiwa nitakuwa nafanya mambo ili kumridhisha kila mtu basi sina shaka kwamba mwaka mpya hauna maana yeyote kwangu.

Nimetafakari haya na mengine mengi...nimeona niwape na ninyi mnisaidie kutafakari ...kisha kwa pamoja na kwa mmojamoja tuchukue hatua stahiki kila siku.....kwani wote tumepewa masaa 24 kwa siku...! Hakuna mwenye ziada.

Noted: Tujikumbushe kua mwaka haubadilishi maisha yetu , sisi ndio tunabadilisha maisha yetu,mwaka mpya unatupa muda wa sisi kufanya hivyo , ila hauna uhusiano na matokeo , refa ni sisi kwa mikono akili na jasho letu.
Hakika brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don't abuse the label "Super dupa Yutong" please....

Ili iwe supa dupa yutong ni lazima iwe na umbo mkatiko - mamiguu safi, kiuno chembamba, vititi vya wastani na mtako wa kumwagika. Sasa wewe unaokota sulusuti zako huko numerator kubwa kuliko denominator na kuziita supa dupa yutong.

Unanikera!

View attachment 2466326
One day nitahakikisha napata hii kitu , maadamu uzima uwepo, umaskini mbaya sana ngoja nipambane nao kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuma ya pazia hawa wanaoitwa madikteta ni watu wazuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu ambaye ni mbaya au mzuri kwa asilimia 100% Akina Hitler, Stalin na miamba mingine ya kihistoria bila shaka pia walikuwa na mazuri yao kwa watu wao wa karibu na waliowafahamu vyema mbali na tunachoambiwa na vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom