McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,128
- 12,638
Hivi kwa nini wanawake wanapenda haka ka sentensi? mawardat njoo unipe jibu.
Mbona points ni tatu hapo na sio mbiliOngezea na stiff competition from neighboring societies [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2464686
Nadhani alimaanisha points ni zile zile tu. Unajua tena kizazi kipya hiki. Badala ya kuandika tu kaandika 2Mbona points ni tatu hapo na sio mbili
Dr. Robert Ouko...na wengine walionja udikteta wa huyu jamaa.Dah! Haya maisha haya... Huyu na udikteta wake sikufikiria ipo siku patakua na mwisho wake, tuliteseka sana kwenye mapambano dhidi yake, tulikua tunamuona kama ambaye hawezi akafa. Alipoteza watu wengi sana huyu.
Au unaweza kumla hata muuzaji mwenyewe kama itawezekana [emoji23]Kutoka FisiBuku
Kuna wale wanaotuuzia mishkaki ya Mia Mia huku stand za dala dala
Sitaki kujua nyama ni ya nini na mnanunua nyama wapi na kilo mnauziwa bei gani mpaka Sisi mtuuzie mshkaki mmoja Mia na nyie mpate faida
Kikubwa niseme nyama ni Tamu Sana nisipokuwa makini naweza Kula mpaka nauli nikatembea kwa miguu

Naam!
The ocean killing machine...The great white....