Best camouflage I have ever seen. Au ni maji tu yamekauka hana mahali pa kwenda?
Ni mamba huyo angalia vizuri utaona jicho lakeBest camouflage I have ever seen. Au ni maji tu yamekauka hawana mahali pa kwenda?
Mideko we mkorofi sana aisee!
Nimemuona ndiyo maana nikasema ni camouflage ya kufa mtu....japo pia nadhani wamekaukiwa maji tu hawana namna.Ni mamba huyo angalia vizuri utaona jicho lake