See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 630
- 1,815
Uniguse nikuchane chane na Viwembe..By Ngwear
Uniguse nikuchane chane na Viwembe..By Ngwear
Huyu mwamba aliipiga haswa.
[emoji23][emoji23]Lakin wasabato hawanywi soda
Wanapiga hadi vile vitu kama mtu fulani hivi nimemsahau jina[emoji16]Wasabato hawanywi soda [emoji16]
Daah wa yes walivyo wengi[emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2466269
Ila huyu kaka msupa kweli
Bongo nyooso mkuu 😂😂😂😂Mideko we mkorofi sana aisee!
Hii ilikuwa scene nzima ya saa 1+. Walipaswa wauze wapige hela kabisa yaani na kama wangekuwa nje wangeendelea kuwa hata ikibidi kuwa na channel yao. Wasted opportunity!