HexakosioihexekontahexaphobiaNjossAya maishaView attachment 2460714
Kamba!Mambo si Mambo tukutane mwakani mungu atuvushe salama View attachment 2464770
Hi ilishatokeaga machame-kilimanjoro 2008 na mwaka huu kwenye mwezi 7 Tena imetokea mwanza na redio free Africa wakaahidi kwenye kipindi Cha sitasahau wataileta hilo tukioKamba!
️
️
️


Ukifuatilia sana ni kamba. Utakuta ni michongo ya waganga wa kienyeji tu...well planned!Hi ilishatokeaga machame-kilimanjoro 2008 na mwaka huu kwenye mwezi 7 Tena imetokea mwanza na redio free Africa wakaahidi kwenye kipindi Cha sitasahau wataileta hilo tukio