Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tunaongea hivyo ili kutimiza vigezo vya kupata mikopoMikutano ya siasa rukhsa! [emoji736]️
Katiba mpya rukhsa! [emoji736]️
Tume huru ya uchaguzi rukhsa! [emoji736]️
Nani kama mama? [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 2464775
Labda maana cjafatiliaga sanaUkifuatilia sana ni kamba. Utakuta ni michongo ya waganga wa kienyeji tu...well planned!
Sawa bhana[emoji51]Pampasi zilipofika Songea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2464444
Daddy shkamoo[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2464778
Marahaba jamani dah!Daddy shkamoo
Hope uko mzima wewe na familia
Nimepita kukusalimia natumai unaendelea vizuri
Ahsante,ubarikiwe piaSalamu za pongezi kwa kila mdau wa thread hii pamoja na mwanzilishi wake na uongozi wa jamii forum.
Ni uzi ulio bora sana kwangu sio kwa mwaka huu tu bali tokea ulipoanzishwa, umekua faraja sana kwangu na pengine wengi wetu, pale tulipokuwa tuna huzuni tumekata tamaa, tumevunjika moyo na kila aina ya maudhui, pindi nifunguapo uzi huu hazipiti post 10 bila kutabasamu na furaha kurudi.
Asanteni sana kwa wale mnaotoa muda wenu kutushirikisha kile mnachokitana nacho chenye maudhui ya kufurahisha na kuposti hapa, i'm sure mmekuwa faraja kubwa sana kwa wengi, asanteni pia kwa like na replies zenu zinatupa hamasa sana na furaha pia .
Heri sana ya mwaka mpya, ukawe ni mwaka wenye furaha amani na tumaini kwa kila mmoja wetu.
You tooHappy new year![]()
Asante DaddyMarahaba jamani dah!
Mimi naendelea vyema. Hebu na ukawe na mwaka mpya mwema na wenye furaha kwako na wapendwa wako wote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante sana binti yangu mwema.