Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ndo sababu ya kudumaa kwa maendeleo huko mikoa ya Kusini. Huyu jamaa aliyekimbia nyumba yake akikusimulia utashangaa sanaKwahiyo umeamua kunimaliza[emoji23]
Anyway kusini ni kiasi babu, lkn upo kuna washenzi huku mbaya,
Dogo kuna siku kaamka hafumbui macho anasema wamemtpigilia misumari dadeq[emoji1787], aisee tulivurugwa misumari hatuioni lkn macho hayafumbuki kutwa[emoji23]
Uchawi upo aisee.