😂😂😂😂 surely sijui nguvu wanatoaga wapi
Wa mwisho hatariAngalia kwa making utaona kitu Cha Ajabu.. we angalia tuu
View attachment 2456044
Mwaka huu nimepata 😀,hata honeymoon haijaisha
Basi sawa 😀Joni nashukuru kwa kutuwakilisha vyemaView attachment 2455916
Kazi ipo!Ni kama wakati wa Kikwete tu. Kama una kanafasi halafu uje uondoke bila kuiba na kutajirika basi umezubaa na utachekwa mpaka ukome!
View attachment 2455567
Marafiki zake King Kong IIIHahaaaa Nyie Kuna jinsia Ni smooth criminals
View attachment 2456142
Hapo kwa boyfriend umesahau na hii emoji
