Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_16719517377103362.jpg
 
SUMA JKT naomba uyu Mdada apewe ulinzi Kisha wizara ya utalii imjengee Sanamu pale njia panda ya Mwanjelwa Mbeya [emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 2459509
Wanawake wangelizingatia hili tu ndoa nyingi zingekuwa na amani.

Nitachangia mfuko mmoja wa simenti [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom