Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20221227-113817.png
 
Kama wewe tu,

Juzi nimemsikia askofu wa misungwi anasema,misungwi waache ushirikina ni wachawi sana
Uchawi kwa Tanzania aisee ni kila sehemu. Jana nilikuwa naongea na jamaa hapa kutoka Mtwara huko amekimbia uchawi. Kajenga nyumba nzuri kijijini siku ya kuhamia amekuta vichuguu vya mchwa kila chumba. Watu wengine wakija hawaoni kitu. Ameenda kwa wataalamu huko wakamrekebishia kukapoa kidogo lakini baada ya muda mambo yakaanza tena. Anaona moto unawaka nyumba inaungua anakurupua familia kutoka nje anapiga makelele mpaka wanakijiji wanakuja lakini wanakuta hakuna moto wala nini. Ameondoka bila kuaga na hataki tena kupasikia huko Kusini mpaka anakufa...

Misungwi kwa ushirikina cha mtoto kwa sehemu zingine kama huko kwa Waha, Wafipa, Songea huko na Kusini pamoja na Tanga na visiwani.
 
Kwahiyo umeamua kunimaliza
Anyway kusini ni kiasi babu, lkn upo kuna washenzi huku mbaya,

Dogo kuna siku kaamka hafumbui macho anasema wamemtpigilia misumari dadeq, aisee tulivurugwa misumari hatuioni lkn macho hayafumbuki kutwa

Uchawi upo aisee.
 
Back
Top Bottom