Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kama ulikua humjui Vizuri Bondia MANDONGA wacha nikufahamishe:-

Jina kamili :- KARIM MANDONGA.

Amezaliwa :- 19/5/1979.

Umri :- miaka 43.

Sehemu aliozaliwa:- MIKESE mkoani MOROGORO.

Sehemu anayoishi;- MORORORO MJINI.

Kazi yake:- MPIGA DEBE.

Sehemu anayofanyia kazi:- STENDI YA MKOA MSAMVU iliopo MORORORO.

Kazi nyengine:- BONDIA

Kabila :- MLUGULU.

Umaarufu :- Ndie Bondia MAARUFU ZAIDI TANZANIA kwa sasa.

Kauli mbiu yake :- MANDONGA MTU KAZI.

Familia :- Ameoa na watoto 2.

DARAJA:- hupanda daraja kila anapopigwa hasa knockout.

UPENDO KWA MASHABIKI:- Mashabiki zake hupenda apigwe kila pambano.

MATARAJIO YA MASHABIKI:-Matarajio ya Mashabiki zake ni kupigwa tu hadi afe.

MSIMAMO WA MASHABIKI;- Kuwa nae bega kwa bega mpaka afie ulingoni,
Pia hana haki ya kushinda haki yake ni kupigwa tu ushindi wake hawautambui.

DUA ZA MASHABIKI:- Mashabiki zake humuombea Dua ya kupigwa knockout kila pambano.

View attachment 2459362
Kwanini mabondia wengi ni wapiga debe???
 
Screenshot_20221223-204920.jpg
 
Back
Top Bottom