Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20221226_233552.jpg
 
Mwambie anipigie ni mimi mama yake!!mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana ..mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie nimeumwa sana ila nikapona bila hata kutumia dawa/mwambie mzee juma bado ananidai pesa zake nilizokopa ili nimlipie ada amechukua kile kishamba nilichokuwa nakitegemea kufidia deni lake/mwambie mimi mama yake nimebaki pekee yangu tangu baba yake afariki sina hata wa kunisogezea kuni motoni/mwambie leo nimetamani sana nyama zile mboga zilizoota zenyewe upenuni zimenichosha mpka mdomo umekuwa mchungu/mwambie wale vijana walitaka wanipige eti mimi mchawi eeh/mwambie mama yake nimekuwa mzee sana nahesabu siku tu aje hata nishike mikono yake nimuoneshe mipaka ya nyumba yetu/!!salio limeisha mwambie mama anampenda sana!ila huku kijijini nimebaki pekee yangu wenzangu wote wameenda mjini kusherekea kwa watoto wao...View attachment 2458551
Aisee,

I love my mom
 
Kama ulikua humjui Vizuri Bondia MANDONGA wacha nikufahamishe:-

Jina kamili :- KARIM MANDONGA.

Amezaliwa :- 19/5/1979.

Umri :- miaka 43.

Sehemu aliozaliwa:- MIKESE mkoani MOROGORO.

Sehemu anayoishi;- MORORORO MJINI.

Kazi yake:- MPIGA DEBE.

Sehemu anayofanyia kazi:- STENDI YA MKOA MSAMVU iliopo MORORORO.

Kazi nyengine:- BONDIA

Kabila :- MLUGULU.

Umaarufu :- Ndie Bondia MAARUFU ZAIDI TANZANIA kwa sasa.

Kauli mbiu yake :- MANDONGA MTU KAZI.

Familia :- Ameoa na watoto 2.

DARAJA:- hupanda daraja kila anapopigwa hasa knockout.

UPENDO KWA MASHABIKI:- Mashabiki zake hupenda apigwe kila pambano.

MATARAJIO YA MASHABIKI:-Matarajio ya Mashabiki zake ni kupigwa tu hadi afe.

MSIMAMO WA MASHABIKI;- Kuwa nae bega kwa bega mpaka afie ulingoni,
Pia hana haki ya kushinda haki yake ni kupigwa tu ushindi wake hawautambui.

DUA ZA MASHABIKI:- Mashabiki zake humuombea Dua ya kupigwa knockout kila pambano.

FB_IMG_1672107429663.jpg
 
Back
Top Bottom