Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,127
- 35,494
Hii gari imefikaje hapo,hicho si ni kituo cha mwendokasi?
Hii gari imefikaje hapo,hicho si ni kituo cha mwendokasi?
Ubungo hapoHii gari imefikaje hapo,hicho si ni kituo cha mwendokasi?
Kwa kweli sijaelewa hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vijana, Wanawake wanataka wanaume wenye tamaa au mafanikio 90% yao! hata hivyo jambo la kuchekesha ni kwamba, wanalalamika unapoweka kazi mbele ili kufika huko, kwa sababu wanataka pia uwafurahishe na uwepo wako kwao.
Unachofanya na habari hii ni juu yako, lakini ielewe vizuri.
Yeye ini lake mbona bado linafanya kazi? [emoji51][emoji51][emoji51]Ngumu kumezaView attachment 2458972