Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,194
- 829,148
- Thread starter
- #137,221
BilaganziView attachment 2459061
Ilimu
Njia Rahisi ya Kujua kama Nyumba yako Inaingiwa na Wachawi ni Kutumia Mzizi wa Mti wa Mkunde, Huu Mzizi Unauweka Sehemu ya Wazi ambayo Utauona uweke hapo kwa muda Mrefu tuu Siku usipoukuta Ujue Wachawi wanaingia Kuwanga Ndani kwako.!View attachment 2458348