Asante kwa tangazo [emoji23]Tumeumbiwa kusahau. si mbaya tukapata tangazo toka kwa wadhaminiView attachment 2456886
[emoji849][emoji849][emoji849] mummification???Hadi miaka ya 1950, wakaaji wa Venzone, Italia, hubarizi na mabaki ya jamaa zao waliokufa. Wanaishi na maiti majumbani mwao, wanawakalisha kwenye meza zao za kulia chakula, na kuwatoa nje ili wapate hewa safi.View attachment 2456918
Msiba mkubwa!
[emoji24] Kwisha habari yangu jobless najarbu kujikwamua ona kilicho tokea sasa nianze kupekuwa tena CV zilipo [emoji24][emoji24] duka samani ya 5,000,000 wameondoka nayoView attachment 2456937View attachment 2456938
Wanahifadhi vipi hiyo miili?Hiyo ni mila