Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
Wakongwe. Tumapakua sana wali wa rangi rangi humo
Makelele ya mtandaoni humu yanasaidia. Naona wameamua kufuatilia...Huduma kwenye taasisi zetu za umma ni mbovu na mahospitalini huko ndo usiseme. Rushwa kila mahali....
View attachment 2456353