Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,380
Tulifunika kombe kaka...!Huu msala uliishaje?
View attachment 2456670

Mchuzi ju wali ja (mchuzi wa juzi, wali wa jana)Mama muuza fanya mamboView attachment 2456655

Na kufanyiwa fumigation kabisaHiyo kesho hiyo. Naona pitch inachongwa vizuriView attachment 2456652
Klabu ya Yanga imeripotiwa kurejesha pesa za kuvunja mkataba kiasi cha Tsh milioni 112 zilizolipwa na mchezaji Feisal Salum Klabu hiyo imemuandikia barua mchezaji huyo na kumtaka azingatie mkataba baina yao huku wakiziandikia mamlaka za soka pia Fei amerejea kambini rasmi Yanga
-Maulid Kitenge-
![]()
Mkuu embu elezea picha hiu japo kidogo.