Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwambie una haraka kuna mchongo unawahi.. utajuta🄹🄹🄹View attachment 2454288
20221221_211539.jpg
 
Mwaka 2009 mchezaji Heri Mbolo toka Kibosho Fc aliumia mazoezini kuelekea mechi.
Magazeti yakaandika.....
"Kibosho Fc uwanjan Mbolo nje"
Unaambiwaje ile historia ya wanawake kujaa uwanjani haijawahi kuvunjwa Hadi leo.
What a impact
What a Man .
#Mbolo was a GoatšŸ…
 
Back
Top Bottom