Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Samahani jamani eti huku ni wapi? Simu yangu haioneshi kioo
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ft86%2F1%2F30%2F1f644.png&hash=c5525851fb26611bd359b2e69eb6ea05" data-type="image" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />

Weka namba tukupigie
 
Neema Nyangige (19) Mkazi Kata ya Buswahili, Wilaya ya Butiama mkoani Mara amemlalamikia mme wake ambaye ni Bi. Wegesa Msheshe (75) aliyemuoa Nyumba Mbokhe (mwanamke kumuoa mwanamke) kumlazimisha kufanya mapenzi na vijana wake wanne au kurudisha mahari zote endapo akikaidi.
20221216_035146.jpg
 
Neema amesema kuwa alipata mimba za utotoni jijini Mwanza hivyo hamjui baba wa mtoto na aliporudi kijijini akakuta wazazi wake wanadaiwa pesa kwenye kikundi, hivyo ikabidi wamuozeshe kwa bibi huyo ambaye alitoa mahari ya ng'ombe tano na mbuzi watatu.

Wazazi wangu waliuza mahari yangu ili kulipa madeni sasa huyu mme wangu (Bibi) pamoja na vijana wake wamekuwa wakinipiga mara kwa mara kisa nimekataa kuwakubalia kile wanachotaka, mpaka sasa nimefukuzwa na wameniambia nirudishe ng'ombe na mbuzi zote walizoniolea," amesema NeemaView attachment 2448276
 
Pilo ya Pipa; Pia inajulikana kama vazi la Uhispania au vazi la mlevi. Ilitumika zaidi kudhalilisha na kudhalilisha wahasiriwa wake, Pillory isiyo na raha ilikuwa kimsingi pipa lenye sehemu ya juu iliyokatwa kwa ajili ya kichwa na mashimo ya Mikono
20221216_040118.jpg
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Abdel Raphael (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja Mkoani Geita amekutwa amefariki kwa kile kinachodaiwa alifunga maombi ya sala kwa siku 30 katika chumba chake huku akiiaminisha Familia yake kuwa akifariki atafufuka baada ya siku nane.
20221216_041438.jpg
 
Back
Top Bottom