Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20221202-WA0014.jpg
 
Nini hiki? Nkiki ikyi? Nku mouta shituruma shi? . SGR iliyojengwa kwa zaidi ya Trilioni 20 za watanzania maskini ndo mnakuja kupitisha hizi bumunda? Aisee mmetukosea sana. Halafu mnasema hizi ni za masafa marefu?

Yani mnaamini mtu anaweza kukaa humo ndani kutoka Dar hadi Mwanza bila kupata changamoto ya upumuaji? Halafu eti mmetengenezea Korea? Si mngewapa tender SIDO ili kuokoa gharama? Au ni Korea ya Gongo la Mboto? Apaa ngula.!!View attachment 2430420
Aibu Kubwa sana
 
Back
Top Bottom