Nimeshawishika kwenda kugugu, chama la wana sijaliona, lakini nimeona NRM ya Uganda imeshika nafasi ya pili dunia nzima doh[emoji23][emoji23][emoji23].Chama la wana limeshika nafasi ya 3 [emoji706][emoji706][emoji706][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 2427573
Itabidi uombewe mkuu, lasivyo pepo utaisikia tu[emoji16]Hebu tuone waenda motoni [emoji16][emoji16][emoji2099]
View attachment 2427577
Nitatoa shukraniUnaweza ukatoa vyote isipokuwa tu unibakizie ugali [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2425669
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itabidi uombewe mkuu, lasivyo pepo utaisikia tu[emoji16]View attachment 2427720
Huko kanisani watakemea pepo la uongo na kumsingizia nabii mkuu uongo huu. Shetani atakanyagwa mwezi mzima hadi ashindwe na alegee.
ntatoa shukrani
Hivi ni vituko?Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV HabariView attachment 2427914
Inasemekana Tanzania ni channel ya comedy huko mbinguni. Inachekesha hatari!Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV HabariView attachment 2427914
Ma'maeChama la wana limeshika nafasi ya 3 [emoji706][emoji706][emoji706][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 2427573