Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20221126-162757.jpg
 
"Nilikuwa naamini kabisa kwamba, Said Mbelwa nitampiga kwa mambo matatu cha kwanza mgonjwa, cha pili ni mzee na cha tatu ni mlevi"

"Na ndicho kimechotokea, amekutana na ‘NDOIGE' nimepiga tu chali na hiyo ndio maana ya ngumi yangu pia Bondia yoyote atakaye yakanyaga atakutana na NDOIGE kutoka kwangu"

Karim Mandonga - Bondia
FB_IMG_1669470729633.jpg
 
THE GOOD SIDE OF SADDAM HUSSEIN—MBONA WAZUNGU HAWASEMI KUHUSU HILI!?
#UZI
Ashukuriwe yule aliyeniumba “Binadamu”, kwasababu laiti kama Ningeumbwa “Mkonge”,
KATU
Nisingekubali Nivunwe,na kisha nyuzi-nyuzi zangu eti zikatumike kuinyonga shingo ya Saddam Hussein, NISINGEKUBALI
20221126_172530.jpg
 
Back
Top Bottom