Kama una mwanamke wa hivi, pole sana, lazima hata gonno limesha wahi kukupuliza
Alafu yote si majibu [emoji1787][emoji1787] majaliwa yupo tanga anakula kozi ya uokoaji zima motoHii nchi uhuru umezidi aiseeView attachment 2423460
Bosi picha zako nyingine kama vile zinavuka mipaka ya huu uzi.
Kumbe hao wala tango wamekukwaza. Pole sana mkuu!Bosi picha zako nyingine kama vile zinavuka mipaka ya huu uzi.
No offense intended