Oh dear! Taarifa zimfikie rafiki yetu Kelsea naona tuanzage tuu kutafuta replacement ya andunje maana hamtoboiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Elimu yetu ni ya kubebana bebana tuu degree za vyupi na mlungula tuuu na ndio maana hatupigi hatua.
Thats is brilliant! Hawa kweli marafiki wa kufa na kuzikana