Samahani mkuu sikujua uko huku- umekwazika?Acha upuuzi wewe huku sio jukwaa la siasa
Uyo muhuni, mtu mzima hua hapotei, au ana pesa za malawi zile za kuku na mahindi au za kufa kwa kipindi flani alafu anaibuka
Men will be men

Sisi wengine tulio okoka na kumpenda yesu na hatujaoa na sadaka haizidi eftatu
Kuna Wanawake wanajua sana kuloweka Nguo..kihasi kwamba zina chelewa kwenye kukauka.
Kuna Wanawake wanajua sana kuloweka Nguo..kihasi kwamba zina chelewa kwenye kukauka.
Sent using Jamii Forums mobile app



Hakuna kwenye pesa tena za bure bure tu kama kwenye siasa...Hapo kuna wagombea 6 wa kichagga- badala ya kutfuta pesa sasa wamegeukia siasa
Ni huyu MD wetu wa humu?





