Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20221121-WA0005.jpg
 
Jirani pm unanifungulia sekunde alafu unapotea...
Unanidolisha Jirani...

sawa Jirani nitapita mitaa hiyo, ole wako uishie kunichungulia gorofani...
Sasa si lazima niweke mapozi jirani, yaani lazima nikusumbue sumbue.
Kama saivi kufungua pm ni hadi mwisho wa mwezi ujao so kuwa mpole.

Hahahaa na usipokua makini takumwagia maji toka gorofani af nakwambia sorry bahati mbaya jirani.
 
Hata kama wanaume tumeumbiwa mateso siyo namna hii Jirani...

Fungua pm Kwa nusu saa tu, nitakua nishamaliza...

Ukinimwagia maji ndiyo nitapata sababu ya kuja unikaushie nguo zangu...
 
Jirani unaonekana huna uvumilivu, unanipa mashaka.
Pm sifungui kwakweli, kwanza funguo sijui ilipo.

Hamna pasi hapa, utakaukia juani jirani
 
Back
Top Bottom