Keshafikishwa na tango😁
The one who's upside down
Aisee...
Asikie paa paa paa... kumbe shoo😁
Nasikia Wadigo wanamudu hii😁
Hahaha..
Daah!
Hahaha...Jobless dentist,dada wa jirani kanipa 35K nimsaidie kwenda na mwanae hospital akaon'goe jino,anasema yeye hataweza kumshika.
Hospital hatujafika ila jino limeshan'gooka [emoji1787] niko na dogo hapa anapooza maumivu na chips na soda [emoji1787][emoji1787],mpaka mama yake atoke job atamkuta anakula miwa.View attachment 2410417View attachment 2410419
Hahaha...