alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,721
- 6,075
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]comrade anashangaa
Non of them......
Hii ishawahi kunitokea miaka ya nyuma, Demu aliniibia Godoro, Friji na Vitu kibao. Yaani alikuja na Kirikuu mchana akabeba
Dah utelezi unatutesa wana!!Hii ishawahi kunitokea miaka ya nyuma, Demu aliniibia Godoro, Friji na Vitu kibao. Yaani alikuja na Kirikuu mchana akabeba
Dah sie watu wa dakika mbili tunasemwa sana. Sijui waliambiwa kile chakula moaka usimamie show masaa
[emoji16][emoji16]kabisa!Kumbe hata kendez zinaweza kiwakilishwa na miguu ya mtoto....[emoji28][emoji28]
Sambamba na ule mguu wa kati....[emoji2368]