Hivi watakua wanaendelea na show off kweli yale mazozi ya utayari !!? Waache huu mwaka upite
Kazoea masamaki kule ngoja akale pizza nayeye
https://www.jamiiforums.com/threads/uvccm-katika-ubora-wao.2037840/
🤣🤣🤣🤣 Dah
Kikubwa uzima[emoji106]Nipo mkuu. Hekaheka kidogo ila zimepita salama!
Machozi huenda na maji...(By Remmy Ongalla)Kilio cha samaki
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kikubwa uzima[emoji106]
Shida kubwa zaidi ni hayo mafuta yanayotumika kukaangia hizo chips. Ni yale yale tena na tena mpaka yanakuwa meusi tii. Haya hayakawii kusababisha mrundikano wa lehemu na kuziba mishipa ya damu.
Mtoto wa Afrika [emoji1545][emoji1545]
Hata aibu hakuna [emoji706][emoji706][emoji706]
Tunarudi kwenye ule msemo wetu..better to be born lucky than gifted.Kuna wanaume wana bahati [emoji16][emoji16][emoji16]
mzabzab kama ni wewe bahati kama hii ungeichukuliaje?
View attachment 2409928